BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Serikali ya Marekani imekubali kupunguza kifungo cha “tapeli wa mitandaoni” Hush Puppi hadi miaka 11 kwa kuwasaidia wapelelezi kutatua kesi nyingine.
⠀
Hush Puppi maarufu raia wa Nigeria aliyeongoza genge la utapeli kwenye mtandao alikamatwa na kuhukumiwa huko Dubai mnamo 2020 kwa kufanikiwa kuwaingiza mkenge wa ukaghai watu wengi kutoka Ulaya na Marekani.
Inasemekana alitengeneza zaidi ya Tsh. Bilioni 800 katika kipindi cha miezi 18.