Mbona background yake haionyeshi kusoma mambo ya ICT/IT.Serikali ya Marekani imekubali kupunguza kifungo cha “tapeli wa mitandaoni” Hush Puppi hadi miaka 11 kwa kuwasaidia wapelelezi kutatua kesi nyingine.
⠀
Hush Puppi maarufu raia wa Nigeria aliyeongoza genge la utapeli kwenye mtandao alikamatwa na kuhukumiwa huko Dubai mnamo 2020 kwa kufanikiwa kuwaingiza mkenge wa ukaghai watu wengi kutoka Ulaya na Marekani.
Inasemekana alitengeneza zaidi ya Tsh. Bilioni 800 katika kipindi cha miezi 18.
View attachment 2351955
KipajiMbona background yake haionyeshi kusoma mambo ya ICT/IT.
At least he tried..!Anavuna alichopanda
Kipaji kwenye technology ya hali ya juu bila kusoma? nimesoma google, aliiba pesa nyingi with 40 Million US$ in cash when arrested in Dubai where he was living through mitandaoKipaji
Sifa ndio zimemkamatisha umbwa huyu[emoji3] bata zake zote alikuwa anatupia mitandaoni pamoja na ukwasi wakeKipaji kwenye technology ya hali ya juu bila kusoma? nimesoma google, aliiba pesa nyingi with 40 Million US$ in cash when arrested in Dubai where he was living through mitandao
View attachment 2351969
Tapeli bwege sana huyuSifa ndio zimemkamatisha umbwa huyu[emoji3] bata zake zote alikuwa anatupia mitandaoni pamoja na ukwasi wake
Hakuna wizi wania njema yaani unatapeli watu una watia umasikini huo wema unatoka wapiKuna wakati unaweza kuiba kwa nia njema lakini hiyo haondoki maana ya wizi.