Taqwa bus operations

le mutuz

Senior Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
111
Reaction score
16
nonemmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
 

Attachments

  • 1422172080224.jpg
    100.8 KB · Views: 1,034
Ninawakubali sana hawa TAQWA kwenye mizigo .... yaani hakuna longolongo na ni waaminifu mizigo yangu inatoka Nairobi inafika on time na salama kabisa
 
nawasifu kwa kusafirisha mizigo haswa ya magendo,na kukwepa ushuru ila kwa abiria halifai maana kilaahali polisi wanalisimamisha na kujichukulia chao!pia mizigo ya madukani hujaa kwenye buti chini huko huko kkoo likija ubungo abiria hawana nafasi ya kuweka ma bag yao hivyo kukbanana nayo ndani ya bus!HIYO NI REALITY!!!
 
TAQWA linawafaa wafanyabiashara wanaopendelea kupitisha mizigo ya magendo kwenye BORDER (Namanga, Kasumulu & Tunduma) kwa abiria wa kawaida NO NO, kwa wanaenda NAIROBI ni bora kutumia DAR EXPRESS au SAI BABA
 
acheni kuchafuliana.boda ipi utapita bila kulipia ushuru?
 
....

.....bongo unaleta mutangazo kumbe unakuya kusandisha !!!!
 
wewe ni le mutuz yuleyule au? akaunti fake, manake threads za le mutuz zinajulikana !
lemutuz hana points za kihivyo.
 
Kwa safari ndefu nyie jamaa hamna upinzani.Yaani unakuta bus DAR-LUSAKA-HARARE sasa hili si balaa.Nimeliona jingine DAR-BUKOBA-KAMPALA root zenu ni balaa.
 
nawasifu kwa kusafirisha mizigo haswa ya magendo,na kukwepa ushuru ila kwa abiria halifai maana kilaahali polisi wanalisimamisha na kujichukulia chao!pia mizigo ya madukani hujaa kwenye buti chini huko huko kkoo likija ubungo abiria hawana nafasi ya kuweka ma bag yao hivyo kukbanana nayo ndani ya bus!HIYO NI REALITY!!!
 
nawasifu kwa kusafirisha mizigo haswa ya magendo,na kukwepa ushuru ila kwa abiria halifai maana kilaahali polisi wanalisimamisha na kujichukulia chao!pia mizigo ya madukani hujaa kwenye buti chini huko huko kkoo likija ubungo abiria hawana nafasi ya kuweka ma bag yao hivyo kubanana nayo ndani ya bus!HIYO NI REALITY!!!
 
Ninawaombeni tuwe wastarabu kidogo humu ndani.Huwezi safiri acha kukandaia.
 
Nilitoa tangazo tu.ya Saibaba na Dar express ni ya kwao na wateja wao.
 
bwana lovebird njia ya rombo hatupiti nazani kuna metro na saibaba
 
Bnadam hawana jema mnapenda kukandia tu mie mwenyewe TAQWA nawakubali coz huwa nasafir kila mara Toka Iringa to Malawi acheni hzo wako vzuri utakaye safar na sai baba n we2
 
Gwiji la kusafirisha abiria afrika ni hii gari taqwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…