Tar 28 Feb tuna jambo letu wapendwa leaders club

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kutakuwa na mkutano WA injili wakiongozwa na apostle.
Bendera
Gamanywa
Fernandes
Maboya

Na wengi watakuwepo kufanya maombi juu yetyuu...... Saa nane mpaka saa Moja

Mungu akubariki sana wewe utakaekuwepoo
 
Colabo ya wajanja hiyo,kila la heri,msisahau kwenda na sadaka
 
Kutakuwa na mkutano WA injili wakiongozwa na apostle.
Bendera
Gamanywa
Fernandes
Maboya

Na wengi watakuwepo kufanya maombi juu yetyuu...... Saa nane mpaka saa Moja

Mungu akubariki sana wewe utakaekuwepoo
heheehhe wasije wakaja na habari za kumuombea "Mama".....wakichanganya haya mambo watakua wameharibu sana sana though hizo sura zote ni sura za kupiga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…