PreGE2025 Tarakea: Moto wa No Reforms No Election washika kasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shida Nini ikifanyika reforms and election!Hawa wakikosa kupata kurudi Tena Bungeni wataelewa maana yake
 
Huyu Hapa ni Dkt Slaa akifundisha wananchi somo la haki na Demokrasia.

View attachment 3347702

Kwa Kauli moja wananchi wote wamekubaliana kwamba bila Reforms hakutakuwa na uchaguzi
Ndio mana msajili ametoka mafuchoni hivi media za bongo mnashindwa kumuita msajili mumuhoji mamlaka yake mana anasema kutowatambua hasemi ametumia kifungu gani mbona kwenye kukaidi ameweka kifungu?
 
Nakala imfikie Mwanaccm Francis Mutungi
 
Kama mmemaliza Mkutano Sogeeni Hapa Vegas mpate chochote kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…