Taratibu gani nitumie kuishtaki mamlaka ya maji kwa kunibambikia bili ya maji

Troojan

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
967
Reaction score
675
Wanabody nakuja kwenu kuomba msaada wa kisheria ni jinsi gani naweza kuishtaki mamlaka ya maji kwa kunibambikizia bili uku ikishinikiza nilipe pasipo majadala uki wakitishia kunikatia maji.

Bili imekuja mara 4 ya bili ya awali na hakuna kilichoongezeka.
 
Umewasiliana na mamlaka husika kupewa maelezo ya kina juu ya bill yako?
 
Wanabody nakuja kwenu kuomba msaada wa kisheria ni jinsi gani naweza kuishtaki mamlaka ya maji kwa kunibambikizia bili uku ikishinikiza nilipe pasipo majadala uki wakitishia kunikatia maji.

Bili imekuja mara 4 ya bili ya awali na hakuna kilichoongezeka.
mchakato wakuishtaki serikali nimrefu. Ningependa kukushauri kuwasilisha malalamiko yako katika uongozi wa idara uliokaribu nawe.

mchakato wakuishtaki mamlaka ya maji ambayo ni idara ya serikali.

1) unaiandikia taarifa yakuijuza juu ya lengolako lakutaka kuishtaki siku 90 kabla yakufungua shauri mahakamani. shauri linafunguliwa baada ya siku 90 kuisha tangu ulipo peleka taarifa hio.

2) unamshtaki katibu mkuu wa wizara ya maji pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali.

kama utaweza kufwata taratibu zote utaweza kufungua shauri dhidi ya mamlaka ya maji ambayo ni sehemu ya serikali.
 
Duh yaani bill ya maji unamshtaki katibu mkuu wa wizara? kwani hakuna Meneja au CEO wa hiyo huduma ya maji, kama ni kweli utaratibu ndio huu tuna safari ndefu sana na maendeleo tusahau, dispute ndogo ndogo kama hizi una deal tuu na ofisi ya hapo hapo huduma ya maji inapotolewa ikishindikana unaburuza mahakamani meneja na ofisi yao, wakifanyiwa mara mbili wataacha huo ujinga
 
Back
Top Bottom