Taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebambikiwa mtoto asiye wako?

Taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebambikiwa mtoto asiye wako?

MPSZX PAULO

Member
Joined
Mar 12, 2020
Posts
40
Reaction score
36
Jamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako.

Je, kuna haki ya kufungua kesi ya madai na ukalipwa gharama zote?
 
Naamini platform hii inawanasheria wengi na huenda kuna ishu za namna hii zimewahi kutokea wenye uzoefu na hv vitu naomba mwongizo
 
Jamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako
Je kuna haki ya kufungua kesi ya madai na ukalipwa gharama zote?
 
May be Yes, May be Know. Miliki bastola tu. Utajilipa mwenyewe
 
Samehe tu acha yapite kama halijatokea jambo lolote, ukishindwa samehe lipiza mpaka kichwa chake kiwake moto.

Tukirudi kwenye swali lako taratibu za kufwata sizijui ila subiri watakuja kukuelekeza wengine, au tafuta mwanasheria/wakili utapata muongozo sahihi.
 
Inauma ila achana nae tu, mtoto hana hatia, hasara roho, tafuta mwanamke mlieridhiana mpate wenu.

Kuna jamaa kwakutajia bastora hapo juu, usije jari unless umeyachoka maisha yako
 
Samehe tu, Kuna jamaa naye alibambikiwa alisamehe tu, kufungua kesi mlolongo, utapoteza muda tu , na wanaweza waambiwe wakulipe uwezo wanao wa kukulipa maana alitaka kitonga Cha matunzo, na mdeni hafungwi, japo yataka Moyo kusamehe, we Paulo Kama ni mroma, fuata matendo ya mtakatifu Rita.
 
Jamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako.

Je, kuna haki ya kufungua kesi ya madai na ukalipwa gharama zote?
Damu siyo yako,kubali yaishe,hata kama ulilea mimba,bado hiyo haihalalishi wwe kua biological father my Friend!!
 
Back
Top Bottom