MPSZX PAULO
Member
- Mar 12, 2020
- 40
- 36
Usishangae mkuu naomba ushauri kama inawezekana[emoji853]
May be Yes, May be Know. Miliki bastola tu. Utajilipa mwenyeweJamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako
Je kuna haki ya kufungua kesi ya madai na ukalipwa gharama zote?
Paul hapo hutoambulia kitu.
Damu siyo yako,kubali yaishe,hata kama ulilea mimba,bado hiyo haihalalishi wwe kua biological father my Friend!!Jamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako.
Je, kuna haki ya kufungua kesi ya madai na ukalipwa gharama zote?