F FADHILI KIKA Member Joined Jun 10, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Dec 24, 2013 #1 Hivi jamani ni upi ni utaratibu sahihi wa kumfukuza mfanyakazi wako ambaye ameshakutumikia zaidi ya mwaka mmoja na nusu hivi,ili sheria isikubane?
Hivi jamani ni upi ni utaratibu sahihi wa kumfukuza mfanyakazi wako ambaye ameshakutumikia zaidi ya mwaka mmoja na nusu hivi,ili sheria isikubane?
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,346 Dec 25, 2013 #2 Kwa nini umfukuze? Embu tuanzie hapo!