Taratibu za jeshi la polisi zinaruhusu hii?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa umevaa kombati?
 
Sijui. [emoji1745][emoji1745]
 
Hujaona kwny picha ya kwanza kabisa kuna HAPPY BDAY mkuu mwenyewe.

Ukishaweka hio picha tu,basi jua hakuna ataekusumbua.
 
Kwani kwenye magazeti na Tv inaruhusuwa?
 
mkuu humo usiingilie kuna vitu vingine vya wakubwa
 
Huyu afande personally ananivutia sana.Anaijua kazi yake.Uaskari sio ukasisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…