Asante sana kwa ufafanuzi mzuri!Nitaufanyia kazi!Vipi kama nitaenda kwenye duka,vitu gani nizingatie?Kutoka kwa mmiliki ni
1. Anayeuza sharti awe ndio anayesoma kwenye kadi
2. Uhamisho wa umiliki anayeomba ni mmiliki kwa kuandika barua kwa meneja TRA Mkoa husika
3. Itawapasa muwe na mkataba wa mauziano pamoja na risiti ya huduma ya wakili ili mkamilishe huo uhamisho wa umiliki.
4. Itakupasa uwe na TIN
NB: Kamwe usinunue piki piki kutoka kwa mtu ambaye hasomeki jina lake kwenye kadi halisi, pia usinunue piki piki inayoanza namba ya usajili na T mfano T 000 ABC huo usajili ulishafutwa kwenye piki piki na piki piki zinatumia MC mfano MC 000 ABC.
Kwa wauzaji na wasambazaji ni rahisi zaidi na haina mlolongo wa tahadhari sana.
Niko tayari kwa yoyote!Ya dukani au kutoka kwa mtu,nisichojua ni taratibu tu za kisheria za kufuata!!Unataka kununua ya mkononi au ya dukani?
Zingatia tu kuwa unauziwa chombo kipya na wewe ndio mmiliki wa kwanza. Uliza pia kama wanautaratibu wa kukusajilia, hapo watakuambia uwape TIN ili waitoe kadi kama wanautaratibu wa kukusajilia.Asante sana kwa ufafanuzi mzuri!Nitaufanyia kazi!Vipi kama nitaenda kwenye duka,vitu gani nizingatie?
Hapo kwenye kuhakiki ninafanyaje pia kujua kama haidaiwi!!Msaada tafadhali!Kwenye eneo hili mimi ni mgeniOngeza pia Nenda hakiki kama haina tukio la uhalifu Au haidaiwi.
Nenda kwa trafki Mwenye mashine cau ki tendo cha usalama barabarani,ataingiza Namba za gari utajua kama ina deni au lah,Hapo kwenye kuhakiki ninafanyaje pia kujua kama haidaiwi!!Msaada tafadhali!Kwenye eneo hili mimi ni mgeni
Vipi kwa bodaboda ya dukani?Nenda kwa trafki Mwenye mashine cau ki tendo cha usalama barabarani,ataingiza Namba za gari utajua kama ina deni au lah,
Hiyo hainashida si Mpya?Vipi kwa bodaboda ya dukani?
Aisee nashukuru sana kwa ushauri!!Hiyo hainashida si Mpya?
Usisahau Kwenda na fundi wako kukagua hiko chombo attest pia maana town kila mtu mjanja.Aisee nashukuru sana kwa ushauri!!
Nashukuru,ushauri umepokelewa!Nitaufanyia kazi!Usisahau Kwenda na fundi wako kukagua hiko chombo attest pia maana town kila mtu mjanja.