May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.