Kipindi hiki cha kampeni ya uchaguzi wewe badili tu hamna shida.Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
Hii haiitwi kubadili rangi. Inaitwa car branding. Unakwenda TRA kwenye kitengo kinachoshughulika na non-tax revenue wanapima gari lako na wanakutoza kulingana na squere meter. Kimsingi hili ni eneo ambalo kwa kipindi hiki TRA wangeweza kukusanya bilions of money kutoka vyama vya siasa kwa sababu hili tukio huwa linatokea mara moja kwa kila miaka 5. Lakini wamelala tuu usingizi wakikusanya mapato kwa mazoea. Sijui hata kama zile bill boards za wagombea zilizotapakaa nchi nzima zimelipiwa. Namjua yule Dr. Wa Tra hana mchezo atainyaka hii na kuifanyia kazi.Nimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
Ungemfuata unayetaka kuweka picha yake, nina imani atakuongoza nini cha kufanyaNimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.
Kama ni Mgombea Mkuu hawana shida mbona.Sasa vipi kama ni Kiongozi Mkubwa nisiyeweza kumfikia, nami nataka niweke picha yake kama njia yangu ya kuonyesha tu kwamba namuunga mkono?.
Maelezo yako yanajichanganya mkuu umesema unaenda TRA zen wanapima gari that means wanataka kukuchaji halafu tena unasema tra wamelalaHii haiitwi kubadili rangi. Inaitwa car branding. Unakwenda TRA kwenye kitengo kinachoshughulika na non-tax revenue wanapima gari lako na wanakutoza kulingana na squere meter. Kimsingi hili ni eneo ambalo kwa kipindi hiki TRA wangeweza kukusanya bilions of money kutoka vyama vya siasa kwa sababu hili tukio huwa linatokea mara moja kwa kila miaka 5. Lakini wamelala tuu usingizi wakikusanya mapato kwa mazoea. Sijui hata kama zile bill boards za wagombea zilizotapakaa nchi nzima zimelipiwa. Namjua yule Dr. Wa Tra hana mchezo atainyaka hii na kuifanyia kazi.
Gari halibadilishwi rangi bali wanabandika stickerNimekuwa ninakutana na magari mbali mbali yakiwa na picha za Wagombea mbali mbali nikajikuta najiuliza maswali iwapo nami nitatamani kubadili Gari langu, maana najua hili ni zoezi la muda mfupi tu na baada ya kampeni Gari litarudi rangi yake ya awali.