Taratibu za kuagiza mayai au vifaranga toka nje ya nchi

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Wadau ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea kulijenga Taifa.

Naomba msaada wenu kwa anayefahamu ni utaratibu upi unahitajika ili kuruhusiwa kuingiza mayai nchini toka nje ya Tanzania. Pia naomba utaratibu wa kuagiza vifaranga.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwa michango yenu ya mawazo

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…