Gumtree ni site tu ya online ila haina au hawafanyi delivery maana huku ni individual seller, na kuwa makini unapotaka kununua kitu South African maana matapeli nao wanafungua account zao huko kwa kuweka vitu vya bei cheap ila muonekano wenye ubora. Tafuta site au kampuni inayoaminika unanunua kwao utapata deliver moja kwa moja.Be forward wanazo ila ni chache sana.
Kama unataka uagize pikipiki na usaidiwe kujua gharama za ushuru watafute Astra Line Logistics.
Kama unataka pikipiki kutoka kwa mkaburu (South Africa) watafute Gumtree, au Bikes Afrika ila hawa bei zao zipo juu kidogo na wanakuletea mpaka ulipo.
Any Sport bike (Honda,Kawasaki,Suzuki bmw nk)engine size btn 200-250ccGumtree ni site tu ya online ila haina au hawafanyi delivery maana huku ni individual seller, na kuwa makini unapotaka kununua kitu South African maana matapeli nao wanafungua account zao huko kwa kuweka vitu vya bei cheap ila muonekano wenye ubora. Tafuta site au kampuni inayoaminika unanunua kwao utapata deliver moja kwa moja.
Kuna site nyingine za auction wanauza mpaka gari zilizogongwa au pikpiki zilizopata ajali, sasa mi wewe ku bargain nao..
Pikipiki aina gani wataka kununua nikuangalizie huku, nikupe link ya wauzaji then kazi kwako, niko south africa
Unazipatajee...?Anayetaka bike kubwa kutoka Canada zipo za kutosha
Unatoa oda au aina ya bike unayotaka kisha utafanya malipo ya mwanzo ofisini Dar es Salaam.Pikipiki ikifika utamaliza kiasi kilichobakiUnazipatajee...?
Office yenu inaptikana dar sehemu ganiUnatoa oda au aina ya bike unayotaka kisha utafanya malipo ya mwanzo ofisini Dar es Salaam.Pikipiki ikifika utamaliza kiasi kilichobaki
Mkuu kama una link yoyote ya auction SA naomba nami kusaidiwa niweze kuonaGumtree ni site tu ya online ila haina au hawafanyi delivery maana huku ni individual seller, na kuwa makini unapotaka kununua kitu South African maana matapeli nao wanafungua account zao huko kwa kuweka vitu vya bei cheap ila muonekano wenye ubora. Tafuta site au kampuni inayoaminika unanunua kwao utapata deliver moja kwa moja.
Kuna site nyingine za auction wanauza mpaka gari zilizogongwa au pikpiki zilizopata ajali, sasa mi wewe ku bargain nao..
Pikipiki aina gani wataka kununua nikuangalizie huku, nikupe link ya wauzaji then kazi kwako, niko south africa
Kwanini ofisini ya dar isiwe na show room za pkpki hzo.....mtu akihitaji analipia na kusepa na chopa yakeUnatoa oda au aina ya bike unayotaka kisha utafanya malipo ya mwanzo ofisini Dar es Salaam.Pikipiki ikifika utamaliza kiasi kilichobaki
Mkuu kama una link yoyote ya auction SA naomba nami kusaidiwa niweze kuona
Mtzd bk
Bidvest Burchmore's | Burchmore's Car Auctions - Wholesale To The Public
www.bidvestburchmores.co.za
New & used bikes for sale in South Africa
Find new & used bikes for sale on South Africa's leading bike marketplace with the largest selection of bikes for sale.www.autotrader.co.za
Hizi link wote wako trusted ila mimi binafsi ninge select link hizo 2 za mwanzo.....
Bila kusahau hojue au a.k.a hajui.. hiziHapa sio kwa fekon,oking na sinoray