Taratibu za kuagiza tractor nje ya nchi ukoje

Taratibu za kuagiza tractor nje ya nchi ukoje

Ingia google andika autotrader bofya kwenya plants andika model na brand yake ukimaliza muandikie email mwambie akupe bei pamoja shipping hadi Daresalaam Tanzania.
 
Wadau naomba kama kuna anaejua jinsi ya kuagiza tractor nje ya nchi mpaka hapa tz na gharama zake.
Kama una uhitaji kuna hili lipo nchini tayari na usajili juu
IMG-20210613-WA0149.jpg
IMG-20210613-WA0151.jpg
IMG-20210613-WA0150.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema hela uletewe utalipa ngapi maximum.
Zipo nyingi tu toka za miaka ya 60
 
shauri basi
Ugonjwa wa moyo nadhani anaongelea trekta aina ya ursus, ambapo kwenye picha hiyo ya Mshana Jr lipo jembe lake tu na si trekta. Trekta linalouzwa hapo ni new holland, moja ya trekta nzuri kwa gharama rafiki kabisa za manunuzi na gharama rafiki kabisa za matunzo pia
 
umesomeka mkuu. Jioni nitaomba muda wako,kuna ujumbe nitakuachia PM. Nataka kuchukua mashine Agosti
 
Back
Top Bottom