Taratibu za kuagiza tractor nje ya nchi ukoje

Ingia google andika autotrader bofya kwenya plants andika model na brand yake ukimaliza muandikie email mwambie akupe bei pamoja shipping hadi Daresalaam Tanzania.
 
Sema hela uletewe utalipa ngapi maximum.
Zipo nyingi tu toka za miaka ya 60
 
shauri basi
Ugonjwa wa moyo nadhani anaongelea trekta aina ya ursus, ambapo kwenye picha hiyo ya Mshana Jr lipo jembe lake tu na si trekta. Trekta linalouzwa hapo ni new holland, moja ya trekta nzuri kwa gharama rafiki kabisa za manunuzi na gharama rafiki kabisa za matunzo pia
 
umesomeka mkuu. Jioni nitaomba muda wako,kuna ujumbe nitakuachia PM. Nataka kuchukua mashine Agosti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…