Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante,hiyo ofisi ipo wapiNenda Idara ya Habari na maelezo (msajili wa Magazeti) hapo utapewa Fomu kwa ajili ya maelekezo ya usajili.
1. Unapaswa kuwa na hati ya usajili wa Kampuni itakayoendesha bishara hiyo ya Gazeti.
2. CV's za Director wa Kampuni hiyo,
3. CV's za Editor wako na waandishi 10
4. Bank Statement ya A/C ya kampuni yako ikionyesha uwezo wako wa Mtaji
5. Location ya ofisi
6. Publisher wa Magazeti yako, hapa anaweza kuwa ni kampuni namba 1,
7. Baada ya kukamilisha kwa msajili wa Magazeti utakwenda Maktaba kuandikisha ambako utapata ISSN namba.
8. utaandikisha Posta
Hayo yanaweza kusaidia ila gharama zimeandikwa kwenye Fomu utakapozichukua Idara ya Habari Maelezo.
Ofisi ya Idara ya Habari na Maelezo ipo Dar Samora Avenue jirani na mnara wa Askari ama Super Market ya Imalaseko.Asante,hiyo ofisi ipo wapi
Karibu tenaAsante sana