Wakuu
Mie najiuliza sana hivi taratibu za kuanzisha redio ambayo siyo ya kijamii nchini Tanzania zikoje.
Kwani najisikia kuwa na mpango huo lakini sijui A wala B.Suala la vifaa na mtaji siyo shida tatizo ni kupata usajiri ,nafanyaje kwani website ya TCRA haina maelezo yoyote na siko Jijini Dar(Bongo)

Unaweza kusogea pale LUMUMBA office zenu za CCM watakwambia jinsi walivyoanzisha TBC na Clouds fm etc