Wadau wa elimu habari zenu?
Naitwa mwl.mwaipaja nafundisha "general studies" nkasi s.s mkoani rukwa.
Nataka kuchapa kitabu cha gs kwa anaefahamu naomba anijuze utaratibu wa kupata isbn mpaka kuchapisha pia gharama kwan nategemea kitakuwa na kurasa kati ya 140 -150.