Habarini ndugu nina wazo la kuiboresha jamii forum ni naomba uongozi uwasiliane nani,naona nguvu ya jamii forum imeshuka nina idea nzuri sana,wazo hili nimeanza na jamii forum kabla sijawapelekea social network kubwa zaidi!
Kama watapenda wanitafute maana natuma sms kwao zinagoma