Nenda TRA ujaze form watakupa siku moja
Kama ni kampuni ni hivi,
1. MOA
2. Registration
3. Extract
4. Mkataba wa mahala pa biashara ulioshuhudiwa na wakili
5. Utambulisho wa shareholders
6. Barua ya utambulisho wa serikali za mitaa pale unapofungua biashara, yaani ulipopanga
7. Kama ni pako uwe na uthibitisho
8 Picha mbili zilizogongwa mhuri wa mwenyekiti wa serikali za mitaa
9. Jiandae kulipa kodi ya mwaka huu yaani unaweza kukadiriwa 150K na kutakiwa kulipa nusu.
10. Usumbufu wa hapa na pale
buku hamsini na usamalia mwema wapi na wapi na wakati wadau wamesema ni bureLeta buku 50 tu nikusaidie, mbona fasta tu!! Mi ni msamaria mwema