Habari yenu wana JF, Naomba msaada kwa anaeelewa taratibu za kuagiza vinywaji moto na baridi kutoka nje ya nchi. Gharama za ushuru mpakani zipoje kwa vinywaji? TFDA au TBS ni mamlaka ipi inaruhusu au kuidhinisha uingizwaji wa bidhaa hizo? Mimi nipo Mbeya nataka kuagiza vinywaji kutoka nchi za Zambia na Malawi. Ahsanteni