Taratibu Za kufuata kusajili Micro Credit

Babuu Murasa

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
229
Reaction score
120
Heshma kwenu wanajukwaa! Napenda kuwapongeza kwa mchango wenu mkubwa, hakika hapa ni supermarket ya mambo yote yahusuyo Biashara. Naomba kufahamishwa njia Za kufuata kusajili Micro Credit
 
sajili kampuni brela, tafuta TIN tra, pata leseni manispaa, tengeneza credit policy nenda na document hizo wizara ya viwanda na biashara ndo wanatoa usajili. kwa mengine unaweza kuwasiliana
 
shukran mkuu naomba Mawasiliano yako tafadhali
 
sajili kampuni brela, tafuta TIN tra, pata leseni manispaa, tengeneza credit policy nenda na document hizo wizara ya viwanda na biashara ndo wanatoa usajili. kwa mengine unaweza kuwasiliana
mkuu nahitaj kujua garama
 
nimekutumia private msg kuna contacts tuwasiliane
 
Back
Top Bottom