Taratibu za kufuata Mtanzania bara kununua kiwanja Zanzibar

matemabi

Senior Member
Joined
May 2, 2017
Posts
113
Reaction score
145
Naomba kujuzwa taratibu za kununua kiwanja zanzibar zipoje. Utaratibu ni kama huku bara au kuna utaratibu mwingine!?

Ukizingatia na hili vuguvugu la muungano siombei uishe lakini je ikatokea bahati mbaya ukaisha itakuwaje kuhusu swala la umiliki wa kiwanja!!?
 
Naomba kujuzwa taratibu za kununua kiwanja Zanzibar zipoje. Utaratibu ni kama huku bara au kuna utaratibu mwingine? Ukizingatia na hili vuguvugu la muungano siombei uishe lakini je ikatokea bahati mbaya ukaisha itakuwaje kuhusu swala la umiliki wa kiwanja?
 
Uwe na kitambulisho cha mzanzibar mkaazi.
Unaweza kutumia mtu wa pale
 
Ukiwa na pesa unanunua hakuna cha utaratibu wala mlolongo wa kufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…