TARATIBU ZA KUFUATA WAKATI WA KUNUNUA ARDHI AMBAYO HAIJASAJILIWA/INAMILIKIWA KIMILA (in practice)

TARATIBU ZA KUFUATA WAKATI WA KUNUNUA ARDHI AMBAYO HAIJASAJILIWA/INAMILIKIWA KIMILA (in practice)

alteza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
209
Reaction score
53
wakuu salama humu
naomba mnijuze ni taratibu gani za kufuata wakati wa kununua ardhi ambayo haijasajiriwa au inayomilikiwa kimila (yaan haina hati)
maana land act haijazungumzia utaratibu kwa iyo naomba msaada wenu inakuwaje katika practice
thanks in advance
 
Nunua hiyo ardhi kwa ushahidi wa kimila chini ya m/kiti wa kitongoji ama kijiji husika kisha nenda ofisi ya aridhi wilayani kwako ili waipime aridhi yako, waisajili na wakupatie hati miliki. Ila utatozwa gharama usishangae.
 
Back
Top Bottom