wakuu salama humu
naomba mnijuze ni taratibu gani za kufuata wakati wa kununua ardhi ambayo haijasajiriwa au inayomilikiwa kimila (yaan haina hati)
maana land act haijazungumzia utaratibu kwa iyo naomba msaada wenu inakuwaje katika practice
thanks in advance
Nunua hiyo ardhi kwa ushahidi wa kimila chini ya m/kiti wa kitongoji ama kijiji husika kisha nenda ofisi ya aridhi wilayani kwako ili waipime aridhi yako, waisajili na wakupatie hati miliki. Ila utatozwa gharama usishangae.