Taratibu za kufuatwa kwenye real estates Business

Taratibu za kufuatwa kwenye real estates Business

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Habari zenu Watanzania wenzangu na Wengine pia!!

Naomba kufahamishwa ni Taratibu zakufuatwa ili mtu afungue real estate agent business ( uwakala wa kuuza na kununua viwanja, Mashamba na Nyumba)

Nitafurahi zaidi akijitokeza Yeyote anayefanya hii ishu, ili anieleweshe zaidi!!
Asante na Mungu awabariki sana
 
Muhimu ni mtaji hiyo ni free bussiness haina regulatory authority.
 
Hata Mimi nahitaji kujua zaidi sababu Nina eneo kubwa zaidi ya hekari nne maeneo ya kigamboni ningependa kupata ujuzi, nashangaa kwanini wajuzi hawaji

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom