Habari zenu Watanzania wenzangu na Wengine pia!!
Naomba kufahamishwa ni Taratibu zakufuatwa ili mtu afungue real estate agent business ( uwakala wa kuuza na kununua viwanja, Mashamba na Nyumba)
Nitafurahi zaidi akijitokeza Yeyote anayefanya hii ishu, ili anieleweshe zaidi!!
Asante na Mungu awabariki sana