Taratibu za kukata rufaa kesi ya jinai

kusangala

Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
60
Reaction score
26
Wakuu,,napenda nijue taratibu za kukata rufaa ktk kesi ya jinai ambayo ilikuwa ktk mahakama ya wilaya,,process zipi zifuatwe baada ya kupata nakala ya hukumu? Na je uhakika wa mtuhumiwa aliyeachiwa huru kutiwa hatiani upo ktk rufaa?
 
Kusangala sometimes tujitunze ku let things go. Kesi zinapoteza sana muda na hela. Kama unaona mahakama haijakutendea haki Mungu atakutendea

Muda ni mahakama tosha kabisa, achana nayo kesi hiyo utajiumiza mwili na roho mkuu
 
Are you a Lawyer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…