Taratibu za kukata rufaa

Taratibu za kukata rufaa

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
Matokeo yangu ni
Economics E
Gography E bt
Maths F
nihitaji kukuta rufaa kwa somo la maths vp kuhusu taratibu za ukataji wa rufaa
 
Ucjisumbue hata.huwezi kufanikiwa.
 
Ni rahisi sana! Nenda NECTA au kwenye website yao down load fomu ya rufaa, ijaze then kalipie bank kwenye ada ya rufaa ambayo ni Tshs. 20,000/- kwa kila somo then unairudisha form Baraza. Unasubilia matokeo yako ambayo kwa 99.9% huwa ni yale yale! So ushauri wangu ni bora uanze mpango wa maandalizi ya kuresit kama unataka kusafisha cheti chako kuliko kuwa na matumaini makubwa kwenye appeal!
 
Kwa matokeo yako hapo juu yanaonyesha wazi kwamba wewe ni kilaza wa kutupwa. Usisumbuke kukata rufaa.
 
Ucjisumbue hata.huwezi kufanikiwa.

kwanini bro alaf nimesikia kwamba unaweza ukalipia laki moja na ishirini ukatafuta mwalimu msahihishaji wa kwako mbona naona kwamba hiyo itasaidia
 
kwanini bro alaf nimesikia kwamba unaweza ukalipia laki moja na ishirini ukatafuta mwalimu msahihishaji wa kwako mbona naona kwamba hiyo itasaidia

wee acha kudanganywa na hzo news za mtaani..kifupi rufaa huchomoki na kwa matokeo yako hayo,cdhan kama wamekupunja marks mkuu.angalia alternative nyngne 2 kwa sasa,ila mpango wa kuappeal usahau kabisa,utapoteza pesa bure.
 
Kwa matokeo yako hapo juu yanaonyesha wazi kwamba wewe ni kilaza wa kutupwa. Usisumbuke kukata rufaa.

kweli binadamu tumekosa imani, yani unadiliki kumtusi binadamu mwenzako tena kikubwa mdogo wako na mtanzania mwenzako ambaye huko nyuma uli-share naye baba na mama mmoja! Hata kama ww umesoma kiasi gani unatakiwa ujue kwamba uyafanyayo ni laana kwako.
Mungu wa israel akuhurumie kwani unatenda ulijualo.pole sana
 
kwanini bro alaf nimesikia kwamba unaweza ukalipia laki moja na ishirini ukatafuta mwalimu msahihishaji wa kwako mbona naona kwamba hiyo itasaidia

acha kujisumbua 4m 4 wali appeal wa2 300 na kidogo yalibadilika matokeo ya watu wa 2 tu.
4m six 2011 wote walio appeal hakuna alie badilusha ki2. Kama ikitokea mtu marks 5 zimeongezeka walio sahihisha huo mtihani lazima waandike maelezo kwann wamekudhulumu
so kijana usipoteze hela bule, we husika na education kijanas
 
owkey thanx
 
Back
Top Bottom