Taratibu za kununua gari ili kufika Singida

Blessed Jr

Senior Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
134
Reaction score
235
Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je, hiyo tax and duty ni shs ngapi? Wataisafirisha mpaka Arusha. Msaada please.
 
Karibu uje nikuagizie gari,na vile vile nakushauri usinunue gari aina ya xtrail sio nzuri.nisan kwa ujumla sio magari mazuri.ni ushauri tu lkn
 
Shida yake ni nini hasa mkuu, nielekeze, na gari nzuri ya around 15M ni ipi?
 
Gari inatumia sensor kwenye mambo mengi .tatizo linakuja pale Fundi anapokimbilia kufungua gear box na engine[emoji119] [emoji120]
Ushauri wako ni upi mkuu, niendelee na process zake au niachane nalo?
 
Karibu uje nikuagizie gari,na vile vile nakushauri usinunue gari aina ya xtrail sio nzuri.nisan kwa ujumla sio magari mazuri.ni ushauri tu lkn
Nissan ni gari imara saaana.,kinachowashinda wengi ununuzi wa genuine spare part..,Ni ghari sana.,hata used part zake bei sio za kitoto kitoto
 
Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je, hiyo tax and duty ni shs ngapi? Wataisafirisha mpaka Arusha. Msaada please.
Zaidi ya mara mbili ya hiyo fedha utakayonunulia
 
Nitafute, ununue gari hiyo saafi kabisa kwa kuagiza nasi, SBT Japan, gari nzuri kwa uhakika. Extrail ya 2007 kuna jamaa wa mbeya aliagiza mwezi October, ndo imeingia...13.5m.

Ingia hapa, chagua gari yako, niambie Mimi: 0652656565
www.sbtjapan.com
 
Back
Top Bottom