Blessed Jr
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 134
- 235
Shida yake ni nini hasa mkuu, nielekeze, na gari nzuri ya around 15M ni ipi?Karibu uje nikuagizie gari,na vile vile nakushauri usinunue gari aina ya xtrail sio nzuri.nisan kwa ujumla sio magari mazuri.ni ushauri tu lkn
Ushauri wako ni upi mkuu, niendelee na process zake au niachane nalo?Gari inatumia sensor kwenye mambo mengi .tatizo linakuja pale Fundi anapokimbilia kufungua gear box na engine[emoji119] [emoji120]
Acha ushamba weweKaribu uje nikuagizie gari,na vile vile nakushauri usinunue gari aina ya xtrail sio nzuri.nisan kwa ujumla sio magari mazuri.ni ushauri tu lkn
Nissan ni gari imara saaana.,kinachowashinda wengi ununuzi wa genuine spare part..,Ni ghari sana.,hata used part zake bei sio za kitoto kitotoKaribu uje nikuagizie gari,na vile vile nakushauri usinunue gari aina ya xtrail sio nzuri.nisan kwa ujumla sio magari mazuri.ni ushauri tu lkn
Zaidi ya mara mbili ya hiyo fedha utakayonunuliaHabari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je, hiyo tax and duty ni shs ngapi? Wataisafirisha mpaka Arusha. Msaada please.