Wakuu habari?kama kichwa cha habari kisemavyo .
Hatua zipi nizifuate ili niweze pata laini ya biashara,kama vile tigo pesa na m.pesa.
Hatua hizo ziwe za kiserikali na kimakapuni ya simu.
Pia naomba kujuzwa gharama itakuwa kiasi gani mpaka kupata laini hizo mbili.
Mawazo yako ni mhimu sana kwani siku hizi matapeli ni wengi sana....sio serikalini wala kwenye makapuni ya simu.