Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport
Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile vitu vilivyo badilika kama vipo.
Huu utaratibu unaotumika sasa wa kuanza maombi mapya nafikiri ulikuwa wa miaka hiyo wakati technologia ikiwa DUNI, lakini kwa sasa kila kitu kipo digital hivyo naona kama ni taratibu zilizopitwa na wakati....