D diwan JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 308 Reaction score 114 Mar 2, 2014 #1 Habari za jumapili wanajukwaa. Jamani naomba msaada wa juu ya taratibu na gharama ninazoweza kutumia kusajili kampuni ya uwakala wa mauzo wa bidhaa na huduma mbalimbali. Natumaini kupata ushirikiano kutoka kwenu.
Habari za jumapili wanajukwaa. Jamani naomba msaada wa juu ya taratibu na gharama ninazoweza kutumia kusajili kampuni ya uwakala wa mauzo wa bidhaa na huduma mbalimbali. Natumaini kupata ushirikiano kutoka kwenu.