Taratibu za kutumiwa gari kutoka nje zipoje?

Taratibu za kutumiwa gari kutoka nje zipoje?

Under 18

Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
27
Reaction score
35
Habari wadau,

Nahitaji msaada kwa yoyote anaejua taratibu na gharama za kupokea gari iliyotumwa kutoka nje.

Si la kununuliwa, bali mtu alikuwa akitumia.

N.b Je, gharama ni zile zile kama za kununua be forward au kwingine?
 
Under 18 acha kupata taabu, nenda TRA kitengo cha customs utapata maelezo yote!
 
Back
Top Bottom