kitaruo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2018 Posts 200 Reaction score 163 Sep 3, 2018 #1 Kama swali linavyo eleza, wadau ninamagunia yangu ya tangawiz, nimesikia soko la nje lina lipa, nahitaji kusafirisha kwaajili ya masoko nje, wadau taratibu zikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
Kama swali linavyo eleza, wadau ninamagunia yangu ya tangawiz, nimesikia soko la nje lina lipa, nahitaji kusafirisha kwaajili ya masoko nje, wadau taratibu zikoje? Sent using Jamii Forums mobile app