Taratibu za misiba, ni nguo zipi anavalishwa marehemu

Taratibu za misiba, ni nguo zipi anavalishwa marehemu

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Huwa najiuliza sana ni nguo zipi ambazo marehemu anavalishwa hususan kwa wakristo maana waislam inajulikana tayari.

Ni nguo aina ipi marehemu huvikwa ?
 
Tuhangaike kwanza kuwavika walio hai wasio na mavazi na wanapigwa na baridi..., Hizo nyingine ni Swagga tu...
 
Daa yaani uwaze kimvika marehemu, usiwaze kumvika anayetembea uchi? Duu!!!!!!!
 
Kama ni mwanaume Jeans iliyochanika magotini na tisheti nyeusi ...kwa mwanamke dela linatosha
 
Back
Top Bottom