Taratibu zikoje katika kuanzisha kiwanda

Nyamtukila

Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
29
Reaction score
5
Khabari wadau, yeyote mweny mchango hatua zinazopaswa kuchukuliwa ili kuanzisha kiwanda, unapataje eneo linalotakiwa kisheria kwa ajili ya kiwanda, na je utupaji majitaka kutoka kiwandani ( kiwanda cha saiz ya kati) kwenda kwenye mito inayopitisha maji taka inaruhusiwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…