Taratibu zinazofuatwa kabla ya kupewa Degree ya upendeleo UDSM

Taratibu zinazofuatwa kabla ya kupewa Degree ya upendeleo UDSM

babayah67

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2008
Posts
493
Reaction score
79
Tunapoikaribia siku ambayo JK atatunukiwa Honorary Degree naambatanisha taratibu zinazofuatwa na UDSM kabla ya kuchagua jina la mtu atakayepatiwa degree hiyo ya upendeleo. Lengo hasa ni kuona ni namna gani taratibu zinavyowezesha mtu asiyestahili kupewa na anayestahili kutopewa.


 

Attachments

peleka kwenye jkwaa la elimu, hapa ni si-hasa tu
 
Mkuu tunashukuru kwa taarifa hii muhimu,, naomba kuelewa je mhusika(candidate/recipient) kama anavyo vigezo vyote lakini kwa bahati mbaya council members or academic staffs hawajagundua mchango wake katika jamii au pengine wana lengo tofauti(may be specific sector), swali je candidate anaweza ku-initiate hiyo process na kupitia process zote stahili ? au pana namna yeyote ya kuipata hiyo degree kwa wale walio interested na vigezo vyote vilivyo tajwa wanavyo ? ?
 
Hiyo sio "degree" ya Upendeleo ni "Degree" ya Heshima!!!!!!!!
"A nomination for any award of any honorary degree should be made upon a person who has
rendered distinguished service in the advancement of any branch of learning or has otherwise
rendered himself worthy of such a degree and his/her notable contribution must have relevance to Tanzania"
 
Back
Top Bottom