Mkuu tunashukuru kwa taarifa hii muhimu,, naomba kuelewa je mhusika(candidate/recipient) kama anavyo vigezo vyote lakini kwa bahati mbaya council members or academic staffs hawajagundua mchango wake katika jamii au pengine wana lengo tofauti(may be specific sector), swali je candidate anaweza ku-initiate hiyo process na kupitia process zote stahili ? au pana namna yeyote ya kuipata hiyo degree kwa wale walio interested na vigezo vyote vilivyo tajwa wanavyo ? ?