Pesa hiyo mpelekee wazee ukachukue helaHabari za mda huu!
Samahani naomba kujua taratibu zipi natakiwa kufuata kama nineuziwa bidhaa iliyokwisha muda wake.
Nilimtuma mdada wa kazi blue band asubuhi nikaondoka kabla hajarudi. Nimerudi nimekuta kawapa watoto blue band iliyoexpiry toka dukani. Naomba kujua taratibu gani natakiwa nifuate kukomesha vitendo hivi wanavyofanya hawa wafanya biashara.
Hakuna pesa isiyo na thamani. Angeenda dukani bila pesa muuzaji asingempa hiyo bidhaa bure hata kama wewe unaona thamani yake ndogo.Kwani hiyo blueband ni gharama gani???
maana usije kujisumbua kwa vitu visivyo na thamani
Ishu sio bei ni afya ya mlaji. Je ikiwaletea changamoto ya kiafya unajua ni gharama sh ngapi watatumia kwenye matibabu.kwani hiyo bidhaa bei gani?? maana unaweza kuwa unajisumbua na vitu visivyo na thamani
got itHakuna pesa isiyo na thamani. Angeenda dukani bila pesa muuzaji asingempa hiyo bidhaa bure hata kama wewe unaona thamani yake ndogo.
got itIshu sio bei ni afya ya mlaji. Je ikiwaletea changamoto ya kiafya unajua ni gharama sh ngapi watatumia kwenye matibabu.
leo unakomenti ki hekima hekima au kananiliu kamenaniliu...😂Hakuna pesa isiyo na thamani. Angeenda dukani bila pesa muuzaji asingempa hiyo bidhaa bure hata kama wewe unaona thamani yake ndogo.
Kuna madhara wamepata?Habari za mda huu!
Samahani naomba kujua taratibu zipi natakiwa kufuata kama nineuziwa bidhaa iliyokwisha muda wake.
Nilimtuma mdada wa kazi blue band asubuhi nikaondoka kabla hajarudi. Nimerudi nimekuta kawapa watoto blue band iliyoexpiry toka dukani. Naomba kujua taratibu gani natakiwa nifuate kukomesha vitendo hivi wanavyofanya hawa wafanya biashara.
Na je alikua na muda wa kujiridhisha/kuikagua kama ipo vizuriKuna madhara wamepata?