Taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara

Taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara

MeNaco.com

Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
94
Reaction score
4
Habari za jioni wana-JF. Mimi kijana ninayetaka kumiliki biashara yangu kihalali. ninahitaji kuanzisha biashara ya Restaurant, je nifanyeje ili niweze kupata leseni ya biashara kwa urahisi?
 
Back
Top Bottom