MeNaco.com Member Joined Sep 1, 2011 Posts 94 Reaction score 4 Sep 8, 2014 #1 Habari za jioni wana-JF. Mimi kijana ninayetaka kumiliki biashara yangu kihalali. ninahitaji kuanzisha biashara ya Restaurant, je nifanyeje ili niweze kupata leseni ya biashara kwa urahisi?
Habari za jioni wana-JF. Mimi kijana ninayetaka kumiliki biashara yangu kihalali. ninahitaji kuanzisha biashara ya Restaurant, je nifanyeje ili niweze kupata leseni ya biashara kwa urahisi?