Na ikawe.Tarehe kama Ya Leo Timu ya Young iliichapa Al Ahly Goli 1-0 Kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, ilikuwa 2014, miaka 10 iliyopita, Je leo historia itajirudia?
Walimaliza nafasi ya nne nyuma ya Mbeya city [emoji855][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakati uo Simba wanaitwa wa matopeni, miaka 5 hawajagusa kombe la ligi kuu uku Azam akigusa mara Moja tu.
Sasa ivi wameanza kupanda ndege wanajiona wajanja kumbe MO Alisha inunua zamaani!! [emoji1][emoji1][emoji1]
AahaaaWalimaliza nafasi ya nne nyuma ya Mbeya city [emoji855][emoji1787][emoji1787][emoji1787]