Tarehe 02/06/2016 vichwa vya habari vya magazeti vitaripoti hivi:

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Tarehe 02/09/2016 vichwa vya magazeti vitaandika hivi:

=Mwananchi; UKUTA wasambaratika kimya kimya!
=Nipashe; Operation UKUTA yaota mbawa!
=Mtanzania; Wajenzi wa UKUTA waingia mtini!
=Raia Mwema; UKUTA kigeugeu!
=Mwanahalisi; Polisi wafanikiwa kuzima Operation UKUTA!
Tanzania Daima; Makamanda watelekeza UKUTA!
 
Ndo matatizo ya UVCCM hamna akili mpo kama mangiri hata hujui ulichoandika tarehe na mwezi haviwiani na maelezo yako
 
inaonekana wewe huna kazi kwasababu hata tarehe ya mishahara hujui.


swissme
 
Mh hebu rekebisha tarehe
 
La kwangu ukuta umejenga nyumba kubwa...
 
Dah! Tangu itangazwe hii Operesheni wanaoonekana wana mdadi nayo sana ni CCM na wala si CHADEMA. Sijaelewa ni kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…