Tarehe 05/Jun,1997 ndiyo tarehe niliyo zaliwa!

Tarehe 05/Jun,1997 ndiyo tarehe niliyo zaliwa!

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
4,893
Reaction score
6,599
Shukrani nying sana ziende kwa Allah na Wazazi wangu ,leo tarehe 05/June 2022 nimetimiza umri wa miaka 25.

Sasa nita focus kwenye uwekezaji wa biashara tu.
 
Dogo unachelewa. 25 unatakiwa uwe umeoa na watoto watatu. Una wangapi?
 
Dogo unachelewa. 25 unatakiwa uwe umeoa na watoto watatu. Una wangapi?
Sina mke,mchumba pia mtoto

Si kwamba siwezi kuwa nao! Bado sijaamua
 
Hawa wauza juisi wa uswazi kwanini juisi wanaweka tangawizi
 
Back
Top Bottom