T Toxicer Member Joined Jul 6, 2013 Posts 42 Reaction score 0 Jul 10, 2013 #1 Matumaini ni makubwa leo!
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 603 Jul 10, 2013 #2 kumbe matumaini, nilijua uhakika
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Jul 10, 2013 #3 Wacha wakae nayo tu, kwa upande wangu nishajichoke.
N nashy pascal Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 111 Reaction score 2 Jul 10, 2013 #4 msiogpe vjana, leo trh 10,j5 yanatoka livee
M Msurinyoka Member Joined Apr 14, 2013 Posts 51 Reaction score 4 Jul 10, 2013 #5 Toxicer said: Matumaini ni makubwa leo! Click to expand... mkuu itakuwa vyema ikiwa leo post kutoka maana wadogo zetu wanayasubiri sana
Toxicer said: Matumaini ni makubwa leo! Click to expand... mkuu itakuwa vyema ikiwa leo post kutoka maana wadogo zetu wanayasubiri sana
G Gwakisa George Member Joined May 26, 2013 Posts 67 Reaction score 14 Jul 10, 2013 #6 Kama anaona akitoa hizo post atakonda akae nazo tu.watu tushajichokea hapa.