tarehe 12 mwezi wa 7 simba anashinda goli mbili

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,183
Reaction score
2,871
Habari zenu waungwana, sijaenda kwa mtu wala mganga ila leo nimeangalia, nimepekua vitabu nikaona simba anashinda goli mbili dhidi ya yanga siku ya Jumapili.
 
habari zenu waungwana sijaenda kwa mtu wala mganga ila leo nimeangalia nimepekua vitabu nikaona simba anashinda goli mbili dhidi ya yanga siku ya jumapili
Relodi za simba vs yanga mwezi julai hizi...
 
Yanga 3 simba 0

Au

Yanga 3 simba 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…